JPM AIPA ACT WAZALENDO KITENDAWILI KIZITO..
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mpya ambapo amemteua bi. Anna Elisha Mghwira kutoka chama cha ACT WAZALENDO Ambacho kinaongozwa na Zitto KABWE, kuwa mkuu wa mkoa wa KILIMANJARO kuziba nafasi iliachwa wazi na Meck SADICK...
KITENDAWILI ni je ACT itaweza kusimama kama upinzani katika uchaguzi mkuu ujao? Ikiwa mama Mghwira ndiye aliyekuwa mgombea mwaka 2015..?
Raisi amefanya uteuzi mwengine ikiwa ni pamoja na aliyekuwa makamu mkuu wa jeshi la polisi kuwa balozi..
Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki kuwa mabalozi.

Taarifa kutoka ikulu inaeleza zaidi
No comments