Hii ndio orodha ya washindi wa tunzo za BET zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.
Usiku wa kuamkia leo ilifanyika sherehe ya ugawaji tunzo ambapo kuna mabadiliko yalitokea mengi baada ya kuibuka kwa washindi ambao hawajazoeleka na hawakutarajiwa.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tunzo za BET mwaka 2017 zilizofanyika jana huko nchini Marekani
Best male hip hop
Mshindi: Kendrick Lamar
Washiriki:Big Sean
Chance the rapper
Drake
Future
Kendrick Lamar
J.Cole
Best female hip hop
Mshindi:Remy Ma
Walioshiriki:Nick Minaj
Missy Elliott
Cardi B
Remy Ma
Young M.A
Best male R&B/pop artist
Mshindi:Bruno Mars
Walishiriki:Chris Brown
Bruno Mars
The Weekend
Trey Songz
Usher
Best female R&B/pop artist
Mshindi:Beyonce
Walioshiriki:Beyonce
Mary J.Bridge
Rihanna
Solange
Kehlan
Video of the year
Washindi:Beyonce-sorry
Bruno Mars-24k Magic
Walioshiriki:Beyonce-sorry
Big Sean-Bounce back
Solange-cranes in the sky
Bruno Mars-24k magic
Migos ft lil uzi- Bad and boujee
Best group
Washindi:Migos
Walioshiriki:A tribe called quest
Migos
Fast na Remmy Ma
Rae stremmurd
Album of the year
Mshindi:Beyonce-Lemonade
Walioshiriki:Bruno Mars-24k Magic
Beyonce Lemonade
Solange-A seat at the table
Chance the rapper-Colouring book
J.Cole-your eyes only
Best collaboration
Washindi:Chance the rapper ft 2 chain,lil wayne-No problem
Walioshiriki:Chance the rapper ft 2chain,lil wayne -No problem
Dj khaled ft Beyonce,Jay z -shining
Chris Brown ft Gucci Mane,Usher - Party
Best international act" Africa"
Mshindi:Wizkid
Best New artist
Mshindi:Chance the rapper
Walioshiriki:21 savage
Cardi B
Chance the rapper
Khalid
Young M.A
No comments