-->

Header Ads

WALICHOKITETA MAALIM SEIF NA LOWASSA GUMZO


Katibu Mkuu wa cuf na makamu wa kwanza wa rais wa  zamani wa zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad leo amemtembelea waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya chadema Edward Lowassa akiwa ofisini kwake(oval)mikocheni jijini dsm ambako wamejadiliana masuala mbali ya siasa na zaidi mgogoro ndani ya cuf lkn zaidi ni jinsi ya kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa vyama vya upinzani(ukawa)

No comments

Powered by Blogger.