-->

Header Ads

UTATA; SIMBA WAKABIDHI KOMBE KWA YANGA, UONGOZI WAKATAA.

Utata waibuka kuhusu taarifa inayosambaa mtandaoni kuwa mtandao wa Simba umeripoti kuwa wamekubali yaishe na wanaridhia kuwa Yanga ndo mabingwa msimu huu.

Hata hivyo uongozi wa Simba umekanusha habari hizo na kusema ni upuuzi uliozushwa ili kupotosha watu na kusema bado wanasimama katika msimamo wao wa kutowatambua Yanga kama mabingwa mpaka hapo FIFA watakapotoa ufafanuzi zaidi.

hivyo wamewasihi watu kupuuza taarifa hizo.

Ujumbe huo unasomeka kama ifuatavyo;

No comments

Powered by Blogger.