-->

Header Ads

SIMBA WAIFUATA YANGA KIMATAIFA, YAIKATA MBAO KWA MBINDE.

Baada ya miaka mingi klabu ya Simba imepata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa baada ya kuifunga Mbao FC kutoka Mwanza katika fainali ya Azam Sports Federation Cup.

Simba wamefanikiwa kuwamwaga Mbao FC kwa goli mbili kwa moja ambapo magoli ya Simba yalifungwa na Blagnon Huku bao LA ushindi likifungwa na Ramadhan Kichuya kwa mkwaju wa penati. Bao la kufutia machozi la Mbao FC likifungwa na Nduda.

Kwa ushindi huo klabu ya Simba imejihakikishia kushiriki michuano ya kimataifa ya shirikisho barani Afrika kama sheria ya michuano hiyo inavyosema na kutoa kiu ya mashabiki wengi ya kutoshiriki michuano ya kimataifa.

No comments

Powered by Blogger.