JPM AMTUMBUA MUHONGO..
Prof. Sospeter Muhongo aliyekuwa waziri wa nishati na madini amepoteza nafasi hiyo baada ya rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutengea uteuzi wa nafasi yake.
Hiyo ni kufuatia sakata la mchanga ambalo leo mh. Rais amepokea riport maalum kutoka kwa kamati ya uchunguzi juu ya makosa yalionekana kufanyika katika mchanga huo.
Nafasi iliyoachwa wazi kwa Uteuzi huo itajazwa hapo baadaye kulingana na taarifa ya ikilu.
No comments