-->

Header Ads

BREAKING: Majambazi wanne walivyouawa na Polisi Kariakoo DSM usiku wa leo



Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10.

Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio wamejeruhiwa na risasi ambapo mmoja wao amepelekwa hospitali

JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.