-->

Header Ads

UBUYUUUU: RAY VANNY APATA MTOTO


Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto.


Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na Rayvanny kupitia Instagram.


“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.

Tunawapongeza wawili hao kwa hatua hiyo.


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
Powered by Blogger.