BLAH! BLAH! BLAH! BUSARA ZA DARASSA NA ALIVYOENDA KWA MGANGA
Story za Bashite ziliwekwa kapuni kwa muda, ngoma nyingi zilizotoka hazikupata "attention" sana, kila kona kulikuwa na sauti mbili tu ya Darassa na Ben Pol.
MUZIKI ni wimbo uliotengenezwa na wazalishaji watatu huku video yake ikiwa imeongozwa na Hanscana huku ikiwa ni collabo ya pili kati ya Darassa na Ben Pol baada ya kufanya wimbo mwingine mkubwa miaka minne nyuma "SIKATI TAMAA." Darassa amefanya media tour nchini Kenya wiki hii ambako ametembelea vyombo mbali mbali vya habari pamoja na kuwa mgeni kwenye kipindi cha komedi maarufu kuliko yote Afrika Mashariki cha Churchill Show.
Katika mahojiano na Larry Madowo kwenye kipindi cha The Trend kinachorushwa na luninga ya NTV, Darassa amezungumzia mengi kuhusu muziki na maisha. Darassa anaamini kwenye maisha ya hatua, kufanya kila kitu kwa hatua bila kutaka kufanikiwa kwa haraka.
KINACHOKUJA KWA HARAKA, KITAONDOKA KWA HARAKA. Angalia interview nzima hapa chini
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA
Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments