-->

Header Ads

ARSENAL YAMUANDALIA MAZINGIRA SANCHEZ YA KUONDOKA EMIRATES

Baada ya klabu za Chelsea na Manchester City kuonyesha nia ya kutaka kumsaini, Uongozi wa ya Arsenal umeibuka na kumtamka  Alexis Sanchez kuchagua kusaini mkataba mpya au kuhamia PSG.

Hata hivyo kocha Arsene Wenger bado anamhitaji mchezaji huyo lakini kuna habari kubwa juu mchezaji huyo kuendela na huenda ikwa lazima kwake kuondoka.
Kocha huyo anafahamu kwamba klabu za Chelsea na Manchester City zinataka kumsajili mchezaji huyo lakini hawapo tayari kumtoa kwenda kwa wapinzani wao na balada yake wanataka kumuuza kwa PSG. Wenger ni rafiki wa Rais wa PSG Nasser Al- Khelaifi na kuna habari kwamba mazungumzo ya awali yameshafanyika.

No comments

Powered by Blogger.