-->

Header Ads

PICHA: UBA Bank na Uzinduzi Mashine za ATM Katika Vituo Vinne Dar

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya UBA Bank, Jenerali Mstaafu Robert Mboma akikata utepe pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya UBA Tanzania Mh Peter Makau kuashiria uzinduzi wa mashine za kutolea pesa katika vituo vinne ndani ya jiji la Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akieleza kwa ufupi kuhusiana na uzinduzi wa mashine za kutolea pesa za benki ya UBA ambapo Benki hio imezindua mashine hizo za kutolea pesa katika vituo vinne kwa hapa Dar Es Salaam

No comments

Powered by Blogger.