-->

Header Ads

Mh. Naibu waziri wa afya Hamis Kigwangala ahoji juu ya taarifa ya kuharibika kwa kitanda MOI

Mh. Naibu waziri Mh. Hamis Kigwangala ahoji juu ya taarifa ya kuharibika kwa kitanda(table 5) muhimbili MOI baada ya taarifa aliyoipata juu ya kuharibika na wagonjwa kupata shida.


Haya ndio majibu aliyopewa baada ya kuuliza mapema leo asubuhi, akijibu Mkurugenzi mtendaji othumani kilolomo. 

"Ni kweli tulikuwa na tatizo ya kuharibika  Theatre Table 5 kwa Wiki tatu sasa mafundi wetu wametengeneza na kuirudisha theatre..Hata hivyo  tulipata wasiwasi na matumizi na Uimara wa theatre Table hiyo kwani kilikuwa na short circuit  sababu humidity. Vs patient safety...Tayari tumeishafunga ya muda  manual theatre Table  mpya ambayo ni bora zaidi inayopatikana mjini baada ya timu yetu kufanya uchunguzi ) kwa hatua za awali .timu yetu ya wataalamu ikiongozwa na theatre in charge imetembelea wauzaji wote wa vitanda Dar siku 10 zilizopita na kitanda kingine kipya Robust wamechagua Lab equip na kitawasili wiki zijazo (LPO ilitolewa siku 10 ziliz
opita )

Hali ya sasa
1). Kitanda kipya Table 5 kipo sasa  tumekarabati (manual Table and temporary measure)

2). Kitanda Cha pili kipya kimeagizwa ili tuwe na standby Table.


Hatua zote stahiki zilichukuliwa kwa kuhusisha waandamizi wote (stakeholders) pamoja na timu ya tafiti (research) na hadi sasa theater tables zote 6 zinafanya kazi 
Haidha Mkurugenzi amemuhakikishia naibu waziri kumaliza tatizo hilo lilojitokeza, ili wagonjwa waendelee kupewa matibabu Kama kawaida na operesheni kwa wagonjwa wanaotakiwa fanyiwa, wafanyiwe haraka. 



Aidha Mh. Kigwangala amesema lengo ni kuona wagonjwa wanapata Huduma kwa uharaka zaidi ndio maana alipopata taarifa aliamua kufuatilia kwa uharaka zaidi, ili watanzania aendelee kupatiwa matibabu haraka.

No comments

Powered by Blogger.