-->

Header Ads

KUMBE KULALA UTUPU KUNA FAIDA NYINGI KIAFYA KIASI HIKI? SOMA UJIFUNZE HAPA


Nimeamua kukuandikia hivi kabla hujala ili ujifunze kitu kikubwa usiku huu...msomaji wangu , je? wewe umezoea kulala na nguo za kulalia? Au unapendelea zaidi kulala na nguo nzito?...

Katika kona hii, najaribu kuangalia upande wa pili na nitakufumbua macho uanze kulala uchi/mtupu kwa kutumia hoja bora zilizochaguliwa kuelezea kwanini kulala uchi ni kuzuri kwako.

Hizi hapa faida za kulala utupu au uchi kiafya, twende sambamba tafadhali..maoni yako ni muhimu sana kabla hujaondoka kwenye ukurasa huu..

1.Kulala Uchi Inakusaidia Usingizi Usikuruke.

Miili yetu hutoa joto na kulirudisha,  kama mwili wako hautoi joto ni kwa sababu ya nguo zako za kulalia, utakumbwa na kukosa usingizi  mara kwa mara unapokuwa umelala, kwa sababu kiini  chako  hakiwezi kutoa joto. Kulala uchi  kunaruhusu joto la mwili kutoka kwa haraka  na kukusaidia kulala  kwa haraka bila ya kuanza kusubiri usingizi.

2.Walala Uchi Hupata Usingizi Wa Kina Na Kulala Muda Mrefu.

Joto la mwili la kitandani huwa linajirekebisha lenyewe na kumpa mtu usingizi wa kina na  kulala kwa muda mrefu. Watu wengi hulalamika kuwa hawapati usingizi wa kutosha , wengine huamua kwenda kwa madactari , kumbe tatizo ni wao kulala na manguo mengi kitandani. Na wanapokuwa kitandani huchukua muda mrefu kupata usingizi.

3.Kulala Uchi Inakusaidia Kuzuia Ongezeko La Belly Fat.

Kawaida mwili hutulia usiku,ili kukusaidia kushusha kiasi cha cortisol, unapolala bila kustuka kati ya masaa  ya saa 4 usiku  na saa 8 alfajiri, kiasi cha cortisol kinakuwa kiko chini , lakini baada ya saa 8 alfajiri zile gland zinazozalisha cortisol zinaanza kufanya kazi zaidi kwa ajili ya kujiandaa na kazi inayofuatia  kwa siku, ndio maana huwa unajisikia una nguvu  unapoamka.

Unapokuwa hupati usingizi wa kutosha ndio hapo unapoamka na hizo cortisol nyingi, zinazoleta hamu ya  kula chakula kingi na kusababisha kupata belly fat. Unapolala bila nguo unakuwa unatoa joto linalo rekebisha kiasi cha cortisol mwilini mwako.

4.Kulala Uchi  Utavifanya Viungo Vyako Vya Siri Kuwa Na Afya.

Sehemu ya vagina kwa kawaida huwa kuna joto na baridi na unyevunyevu,  ni  mazingira ambayo  yana chachu ya hutengeneza vimelea  na   kustawi . kwa kutoa manguo mengi na kuacha wazi , utaruhusu hewa safi kupita, na  vagina yako itapumua vizuri ili kupunguza kustawisha vimelea na   chachu inayokuwepo .

Kwa wanaume , kutunza testes kuwa cooler na kusaidia kuweka sperm ziwe na afya na kuwa na uzalishaji  mzuri wa kawaida, hio ndio maana testes zimeachwa nje ya mwili, unapovaa tight briefs, testes zinapata joto na kupunguza kiasi cha sperm zako.

5.Joto La Mwili  Husaidia Kuzuia  Kuzeeka.

Kulala uchi , unachochea  kupunguza  kukua kwa homoni za melatonin , ambazo  ndio muhimu katika kuzuia kuzeeka. Kwa hio jinsi unavyolala vizuri na zaidi,  ndivyo unavyozalisha hizi homoni. Kwa hio kwa sababu tumeelewa kuwa kulala uchi kunasaidia kupata usingizi mzito na wa muda mrefu, nani asiependa kupunguza uzee na kuwa mwenye nguvu siku zote.?

6.Mguso Wa Ngozi Kwa Ngozi  Unaboresha Maisha Ya Tendo La Ndoa.

Kama  hulali peke yako , mguso wa ngozi kwa ngozi  na mwenza wako  inatoa  oxytocin katika miili yenu , ambayo hio oxytocin ina nguvu ya kukufanya ujisikie vizuri, homoni , ambazo zinahitaji kuondokana na srtress  wakati wa sex, na kujiona kama kitu kamili kimoja. Ni muhimu kujua kuwa  unapokuwa uchi  unaondoa  vikwazo kati yako na mwenza wako na kupata hamu zaidi ya tendo la ndoa. Na mazingira yenu yanakuwa rahisi sana.

7.Kutoa Hewa Kwenye Ngozi Yako  Inazuia Magonjwa Ya Ngozi.

Ngozi inapopumua  kutoka mwilini mwako, hasa maeneo ya kwapani mwako na sehemu za  siri za viungo vyako vya uzazi,  unapunguza ugonjwa wa ngozi, kama wale wanaolala na soksi  , kwenye vidole vyao, hupatwa na matatizo kutokana na joto.

8.Kuuachia Mwili Wako Kunaboresha Heshima Na Kujikubali.

Washauri husema unapokaa uchi mara nyingi , hasa ukiwa ndani kwako , unajijengea kujiamini  na kuona ngozi yako jinsi ilivyo na afya njema. Na  unakuwa unajisikia  kuwa huru  na mwenye ujasiri wa kutosha , itakufanya uwe na furaha na  wa kuvutia kwa vile unajitambua . kuliko wale wanaolala na nguo , hata nje wanakuwa ni waoga mbele za watu.

9.Kulala Uchi Inasaidia  Kuondoa Aina Ya Pili Ya Kisukari, 2 Diabetes.

Watu wanaolala uchi  hawako kwenye hatari ya kupata kisukari , lakini wale wanaolala na nguo nyingi wana hatari ya kupata ugonjwa huo.

10.Utaona Damu Yako Ikitembea Vizuri Mwilini.

Bila hizo nguo za kubana, soksi, tishets,na kuondoa mzunguko wote wa  damu utakuwa mzuri mwili mzima, na itakuwa ni faida kwa moyo wako kuwa na mapigo ya kawaida, misuli , na arteries kam oxygen ndani ya damu  inavyoenda vizuri bila matatizo.

Kwa taarifa hizi zote za kwa nini kulala uchi ni  SO MUCH better kwa ajili yako, kwa nini uendelee kulala na nguo ? endelea, anza kulala uchi, kulingana na wanasayansi  hutajilaumu hata siku moja.


...mwisho kabisa suala hili linaweza kuwa baya na la kujutia pale hatari inapotokea ndugu yangu..embu fikiria kuhusu kuvamia au moto na vitu kama hivyo...

Acha maoni yako hapa tafadhali....



No comments

Powered by Blogger.