-->

Header Ads

BELLE 9 AJA NA HII MPYA INAITWA 'MZURI'

Belle 9 amekuwa msanii wa kwanza mwenye jina kuunga mkono beats za msanii wa dancehall na producer, Jetman ambaye amepooza mgongo kiasi cha kuwa kitandani kwa miaka minne sasa. Mzuri ni sehemu ya riddim ya Amka na Jetman.

No comments

Powered by Blogger.