-->

Header Ads

SIMU YA HITLER KUPIGWA MNADA MAREKANI


Haki miliki ya picha
Simu iliyokuwa ikitumiwa na Adolf Hitler wakati wa vita vikuu vya pili vya Dunia itapigwa mnada nchini Marekani mwisho mwa juma hili.
Simu hiyo nyekundu iliyo na chapa cha jina la kiongozi huyo wa Wanazi, ilipatikana katika ngome ya Hitler jijini Berlin mwaka 1945.
  • Mauzo ya kitabu cha Hitler yapanda Ujerumani
  • Nyumba ya Adolf Hitler kuvunjwa Austria
  • Kanisa lamkosoa Duterte kwa mauaji
  • Duterte: Nimeisikia sauti ya Mungu
  • Duterte asema Obama anaweza 'kwenda jehanamu'
Wanajeshi wa Urusi walimpa mwanajeshi wa Uingereza, Brigedia Sir Ralph Rayner, kama kito cha kumbukumbu, muda mfupi baada ya Ujerumani kukubali kushindwa katika vita hivyo.
Haki miliki ya picha
Kampuni hiyo ya mnada iliyoko Maryland, ilisema kuwa shughuli za mnada zitaanza kwa bei ya Dola 100,000.

No comments

Powered by Blogger.