Label ya Vanessa Mdee, Mdee Music inamtoa msanii wake wa kwanza, Mimi Mars ambaye ni mdogo wake. Wimbo unaitwa Shuga na umetayarishwa na Deey Classic kupitia studio za High Table Sound. Video imeongozwa na Hanscana.
No comments