-->

Header Ads

MAGUFULI AREJEA KUTOKA ADISS ABABA

Raisi John pombe magufuli amerejea Leo kutoka adiss Ababa Ethiopia alikokuwa akihudhuria mkutano wa umoja wa afrika AU. Raisi Magufuli amelakiwa na makamu wa Raisi mhe samia suluhu hassan na viongozi wengine Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Julius nyerere jijini DAR ES SALAAM


No comments

Powered by Blogger.