-->

Header Ads

Utafiti waonyesha wakulima 70% hawana elimu ya kuzalisha

Utafiti uliofanywa na taasisi ya ushauri elekezi ya MOSHAK CONSULTANT ya mjini UNGUJA umeonyesha kuwa takriban asilimia 70 ya wakulima na wajasiriamali wadogo hawanaelimu ya uzalishaji na masoko.

Utafiti uliofanywa na taasisi ya ushauri elekezi ya MOSHAK CONSULTANT ya mjini UNGUJA umeonyesha kuwa takriban asilimia 70 ya wakulima na wajasiriamali wadogo hawanaelimu ya uzalishaji na masoko.

Mtafiti wa taasisi hiyo DKT. MOHAMED MOHAMED amesema ukosefu wa elimu ya kuzalisha, kutumia vifungashio vilivyo rasmi umekuwa chanzo cha kurudisha  nyuma biashara za wajasirimali na wakulima.

No comments

Powered by Blogger.