-->

Header Ads

MAONI YANGU KWA SERIKALI

           Kufuatia kutoa  selections ambazo ziliwawezesha  wanafunzi wenye vigezo kuendelea na masomo yao ya advance (O-LEVEL). Wanafunz takribani 16000 waliweza kukosa post zao kutokana na ufinyu wa shule na serikali iliahidi kwamba itaendelea kutoa post hizo kadri nafasi zitakapo patika, nadhaninlilikua nijambo zuli sana.
 mnamo tarehe 31/8/2014 serikali ilitoa SECOND SELECTION ambapo vjan takribani 8000 walichaguliwa kuendelea na masomo ya advance. wanafunz walichaguliwa shule mbalimbali za zamani na zile mpya.
  Tatizo lipo kwenye hiz mpya, kiukweli serikali ingefikiria kuandika JINA LA SHULE NA JINA LA MKOA AMBAO SHULE HIYO INAPATIKANA . imekuwa ni kero kubwa sana kwani inafika kipindi majina ya shule yanafanana hivyo mwanafunzi anashindwa kujua wapi aende.

MFANO;
        Kuna shule inaitwa PAMOJA. hii shule ukii search inaonekana ipo namtumbo songea, na nyingine inaonekana ipo rukwa, wakati huo PAMOJA ya songea inaonekana kuwa ni MPYA na hii ya rukwa inaonekana kuwa ni ya zamani.
ninaamini watu wengi iinatuumiza kichwa hii. ningependa kuiambia serikali kwamba ili kuepusha usumbufu kwa wanafunzi ingekuwa inaelezwa wazi wapi shule ilipo.

kama kuna mtua anajua shule specific ambayo wanafunzi wanatakiwa kwenda awasiliane nami kupitia 0758039993 ili tuwasaidie na wengine wajue. asanten.

No comments

Powered by Blogger.