VIDEO : HANSCANA ACHONGANISHWA KWENYE BIFU LA ADAM JUMA NA RAMA DEE
Muongozaji wa video Tanzania Hanscana amejikuta katikati ya beef la chini chini kati ya Adam Juma na Rama Dee baada ya post ya Rama kwenye IG yake kuhusu uwezo mkubwa wa Hanscana.
Post ya kwanza ya Rama Dee ilitrend zaidi kutokana na tafsiri potofu kuwa ilikuwa ni diss kwa Adam Juma ,ila baada ya saa chache Rama alinyoosha maelezo zaidi kwa posy ya Pili…
Hanscana azungumzia kuchanganywa kwenye beef la Adam Juma na Rama Dee na kusema wawili hawa waliwahi kufanya kazi pamoja na labda haikwenda vizuri ndio maana wanamatatizo yao.
Tags:
Related Posts
Diamond na Siri ya Kuvaa Msalaba
April 08, 20180Vanessa Mdee Akumbwa na Skendo Ya Utapeli.
April 08, 20180Tahiya Amuangukia Zari Baada ya Kusambaa kwa Video Akiwa na Diamond
November 10, 20170
-
Next
Video,Dogo Janja kaonyesha gari lake la nne, ajibu diss ya Young Killer kuhusu kumiliki gari
-
Previous
Wanajeshi kumi wa Mali wauawa na wavamizi wenye silaha