LIVE KUTOKA TEGETA: Kituo cha Mafuta Chanusurika Kuteketea kwa Moto
Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Azania jijini Dar es Salaam, kinateketea kwa moto baada ya gari la kubebea mafuta lililokuwa likipakua shehena ya mafuta kituoni hapo, kupata hitilafu na kushika moto.
Moto huo mkubwa umesababisha barabara kufungwa, na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo.
Taarifa zaidi zitakujia hapahapa, tayari timu ya AKISI TV IKO eneo la tukio na muda si mrefu tunakuletea tukio zima live
IMEFICHUKA: MSAMI KWENYE MAHUSIANO MAPYA NA CHEMICAL 👀
IMEFICHUKA: MSAMI KWENYE MAHUSIANO MAPYA NA CHEMICAL 👀
No comments