-->

Header Ads

Ufugaji wa kuku wa nyama (broiler) katika eneo dogo lisilozidi mita 1 kwa kuku 100

Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili (2) na Upana wa mita moja (1).

Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.

Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves tano(5) kwenda juu kwa ajili ya kufugia kuku.
Urefu unaoshauriwa wa kila shelf/chumba kimoja ni futi moja na nusu hadi mbili.
Katika kilachumba/shelf unashauriwa kuweka kuku ishirini, kwa maana ya kuku 10 katika eneo la mita 1.
Ukichukua idadi ya kuku katika kila chumba (20) mara idadi ya vyumba 5, watapatikana kuku mia(100) katika eneo la mita 2.
Kumbuka kuwa unaweza kufanya mabadiliko mengine kulingana na eneo utakaloweka ghorofa la kuku.

1 comment:

  1. sands casino Archives
    Sands Casino. Casino, formerly 샌즈카지노 known 바카라 as Sands Casino, in Las Vegas has a history of being among the 제왕카지노 Sands Las Vegas, Nevada, United States.Sep 1, 2020

    ReplyDelete

Powered by Blogger.