MALAYSIA CHICKEN WINGS
Vipapatiko vya kuku/chicken wings kilo 1 (wings 10)
Chumvi kiasi
Dark soy sauce kijiko 1 cha supu (waweza tumia light kama huna dark au zote 2)
Siki/Vinegar kijiko 1 cha supu (sio lazima)
Mafuta ya ufuta/Sesame kijiko 1 cha supu (sio lazima)
Oyster sauce 1 tbsp
Asali kijiko 1 cha supu
Sukari kijiko 1 cha supu
Pilipili manga kiasi
Bizari nyembamba/cumin powder kijiko 1 cha supu
Bizari ya mchuzi/tuneric au rangi ya orange kiasi (kwa ajili ya kupata rangi nzuri)
Pilipili ya kuwasha/chilli powder (ukipenda)
Malaysia chicken wings spice kijiko 1 (sio lazima)
Kitunguu saum /garlic kijiko 1 cha supu
Tangawizi mbichi kijiko 1 cha supu
Wakoshe wings watie viungo/ spices na vitu vyote ,muweke akolee kwa masaa kuanzia 3 au mroweke usiku mzima ,(unaweza kuwatia kwenye fridge)
Watie kwenye trey wachome kwa oven mpaka wawive vizuri wakauke ,wakimaliza kama una makaa yamoto waweke /wachome kwa dakika 1 au 2 kila upande kupata harufu nzuri na wapo tayari kuliwa.
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
No comments