Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi kwa Familia ya Aliyekuwa Meya wa Jiji Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Kleist Sykes kilichotokea jana.

KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
No comments