-->

Header Ads

Nape: Tulia Mjomba Upone Kabisa Kabla Hujasema Mengi

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu atulie hadi apone kabla hajasema mengi. Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii ya leo Alhamisi akiwa ameambatanisha na picha ya Lissu ameandika, “Mjomba tunamshukuru Mungu kwa tabasamu hili la matumaini! Nakuombea afya iimarike kabla hujasema mengi! Tulia mjomba upone kabisa kwanza!”



KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
Powered by Blogger.