Mtangazaji maarufu wa Classic 105 ya nchini Kenya, Maina Kageni
amefunguka kwa kusema kuwa kuna msanii mmoja wa Tanzania analipwa na
mtandao wa simu milioni 20 kwa siku kutokana na nyimbo zake. Mtangazaji
huyo amedai hawezi kumtaja msanii huyo lakini alibainisha ni kati ya
Alikiba na Diamond. Alisema hakuna msanii mwingine wa Kenya au Tanzania
anayelipwa pesa nyingi kama hizo kwa siku.
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu