Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wake wa twitter ametoa tamko kuhusu tukio la kupigwa risasi rais wa TLS Tundu Lissu leo mchana akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma. Tamko hili hapa..
No comments