Taarifa kuhusu Kukanushwa Kwa HABARI Iliyodai kufariki Kwa Tundu Lissu
Akisitv.com inawaomba radhi watanzania wote na Dunia kiujumla kwa taarifa ambayo iliituma kwa makosa kwa kutokuwa na chanzo cha uhakika na habari ya Uongo isiyothibitishwa.
Taarifa sahihi zipo na Mh. Tundu lissu anaendelea vizuri na matibabu.
AKISITV inawaomba radhi kwa dhati ya moyoni kwani inafahamu imewamiza wengi..
Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema anaendelea vizuri."
Akisitv.com inajumuika na watanzania wote katika kumuombea Ndugu yetu ili Mungu amsaidie kumponya na majeraha yote na furaha yetu na umoja wetu udumu milele.
Tanzania ni moja.
Ahsanteni
No comments