Mwanamke wa Kitanga Azua Balaa Ndani ya Daladala
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbani....
Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments