MCHANGANYIKO WA KITUNGUU SAUMU NA MAZIWA HALISI YA NG'OMBE NI TIBA YA MARADHI MENGI
MCHANGANYIKO WA KITUNGUU SAUMU NA MAZIWA HALISI YA NG'OMBE NI TIBA YA MARADHI YA
PUMU,MARADHI YA HOMA YA MAPAFU,MARADHI YA KIFUA KIKUU,MARADHI YA MISHIPA YA MOYO,MARADHI YA KIFUA,UKOSEFU WA KUPATA USINGIZI NA MARADHI YA BARIDI YABISI..

UTENGENEZAJI WA DAWA:
Utengenezaji Wake hiyo Dawa:
Chukuwa Maziwa nusu lita
Vitunguu Saumu punje 10
Vijiko 3 vya Sukari.
Maji glasi moja yenye Ml 250.
weka Maji na maziwa na kisha weka Vitunguu Saumu baada ya kuvimenya.Weka jikoni kwenye moto usiwe mkali sana huo moto iache ichemke kwa muda wa dakika 20. Kisha Tia hiyo Sukari Vijiko 3 vikubwa vya kulia wali. Kisha opowa dawa yako ipo teyari .
MATUMIZI YA DAWA: kunywa Glasi au kikombe 1 asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kunywa tena na usiku fanya hivyo kila siku kwa muda wa siku 30 umepona insha-allah.
CREDIT: Mzizi mkavu
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments