Mbunge Peter Msigwa:Polisi Hawawezi Kunipangia Nini cha Kusema na Wala sio Majukumu
Mbunge Peter Msigwa
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa.
"Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA!"
No comments