Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchestr United dakika ya 20 ikishinda 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's.
No comments