KESI YA MANJI NA WENZAKE YASOGEZWA MBELE
Kesi ya Mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu imepelekwa mbele tena na imetajwa kusikilizwa tena Tarehe 9 Agost.
Manji na wenzake walifikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukutwa na Sare za nguo za jeshi pamoja na tuhuma nyengine zinazohusu Usalama wa nchi.
No comments