-->

Header Ads

Ndoa ya Profesa Jay inanukia



Tunae Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ambae kwa kitambo tumekua tukimuona akiwa na Ubavu wake lakini sasa wameamua kuzikamilisha hatua muhimu zaidi kuhalalisha penzi lao.

Usiku wa July 6 2017 zilitoka picha zikimuonyesha Profesa Jay na Ubavu wake huyo kwenye Send Off ambapo Profesa kwenye Twitter yake alipost picha hii hapa chini na kuandika “SEND OFF.. Asante MUNGU!!  



#AKISITV 

No comments

Powered by Blogger.