-->

Header Ads

Huyu ndiye Mpenzi mpya wa Brad Pitt tangu alipo achana na mkewe Angelina Jolie

Mcheza filamu mkongwe Brad Pitt ambaye  ni mume wa zamani Angelina Jolie ambaye nae ni staa mkongwe wa filamu ameonekana akiwa na mpenzi wake mpya katika sherehe mbali mbali.

Mpenzi huyo mpya wa Brad Pitt ambaye ni muigizaji wa nchini uingereza Sienna Miller mwenye miaka 35.
Brad Pitt ambaye ana miaka 53 akimuacha miaka 18 mpenzi wake huyo mpya ambaye ndiye mpenzi wake wa kwanza tangu aachane na Angelina Jolie.
Watu wa karibu wa mastaa hao wamesema wapenzi hao wamekua kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa ila tu wameamua iwe siri kwa sasa.

No comments

Powered by Blogger.