Kumekuwepo kwa habari ambazo zinasambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikihusisha kampuni ya Clouds Media Group kuwa inadaiwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) milioni 700 ambazo ni pesa za kodi. Clouds Media wametoa taarifa na unaweza kuisoma hapa chini.
No comments