-->

Header Ads

PICHA,MTINDO WA TITI MOJA NJE WA NICK MINAJ WAMPONZA PARIS,



Dj Maarufu nchini Marekani Dj Funk Flex ameonyesha kukerwa na tabia ya Nicki Minaj ya kujibu beef la Remy Ma kwa kuvaa vitu vya ajabu kwenye Wiki ya mitindo huko Paris Ufaransa.
Dji huyu aliandika ujumbe instagram akisema amejiskia vibaya kuona Minaj ameshindwa kujibu diss ya Remy na anajaribu kupotezea stori hio kwa mavazi ya ajabu. Nicki Minaj aliamua kutoka na style ya Lil Kim kwenye Paris Fashion Week.
  










Rapa Lil Kim aliutumia mtindo huu mwaka 1999 kwenye tuzo za MTV VMAs.

No comments

Powered by Blogger.