''NDOA'' YA RAPA T.I NA MKEWE TINY KUVUNJIKA RASMI KISA VIDEO YA WIMBO

Sababu ni kuwepo ubuyu wa chini kwa chini kuwa T.I anamuhusiano na video model wa wimbo wa ''do you mind'' wa dj khalid'
Stori kubwa ya udaku mbele inasema video model mkali aliyeonekana kwenye video ya ‘Do You Mind‘ ya Dj Khaled anamyemelea rapa T.I na kwamba tayari wamekutana na kujigi jigi……

T.I na video model huyu Bernice Burgos wamewahi kuonekana wakati T.I akiwa na matatizo na mke wake na kwamba Bernice Burgos amekuwa akiacha comment za makopa ‘Love’ kwenye instagram ya T.i.
Kuhusu issue hii Tiny amesema “Sipotezi usingizi kwa wanawake wakupitiwa na kila mtu, nawabariki yeye na huyo mwanamke pia”
WEKA COMMENTS HAPA
No comments