Rapa wa kike maarufu Pande za marekani 'Iggy Azalea' ametoa video hit song yake mpya kwa jina la‘Mo Bounce’.
Rapa huyo mrembo pia amesema kuwa kwa sasa mashabiki zake wakae tayari kwa ujio wa 'Digital Distortion' album yake mpya hivi karibuni baada ya kuinjoy sana na'The New Classic'album yake ya kwanza mwaka 2014 ambayo aliwashirikisha wasanii kamaJeremih, Lil Uzi Vert, na YG.
No comments