UNAJUA NINI KUHUSU UKUTA MKUBWA WA CHINA?? SOMA HAPA UPATE HISTORIA

Mwanzo wa ukuta huu ulianza kama vijiukuta vidogovidogo ambavyo vilikua havija unganishwa kwa pamoja. Sehemu ya kwanza ya ukuta huo ulijengwa ilijengwa mnamo mapema miaka ya 600 kabla ya kuja kwa yesu. Kadri mda ulivo zidi kwenda tawala za kifalme za kichina ziliungana pamoja.ma elfu ya wanajeshi, wafungwa na wakulima wadogo walihusika kujenga ukuta huo. ulikuja kukamilika mnamo kalne ya 17.
Ukuta wa china ulijengwa kwa kutumia takataka, matope,mawe na vigai. Pia inasemekana watu walokuwa wanakufa katika ujenzi huo walizikwa katikati ya ukuta wakitumika kama sehemu ya ukuta huo.
ukuta huu una urefu wa mita 5 hadi 9 kutoka usawa wa ardhi na mita 8 upana. juu ya ukuta huo kuna njia ndogo za kutembea kwa miguu. kila baada ya mita 100 na zaidi palijengwa m
nara wa kukaa wanajeshi wa ulinzi. iliyumika kamasehemu ya uangalizi na kutuma taarifa. walinzi wa ukuta huo walitumia moshi kama ishara ya kutoa taarifa kwa wenzao mda zaidi mbele mamilioni ya wachina waliulinda ukuta huo. kufika mwishoni wa zama za kati za mawe ukuta wa china ulisitisha kazi zake za kijeshi.
Mwaka 2006 serekali ya china ilianza kuchukua hatua ya kuulinda ukuta huo mkubwa china. Leo ukuta wa china ni ulithi wa dunia, alama ya china na kivutio kikubwa cha watalii kutoka kote duniani.
No comments