-->

Header Ads

AUGUST ALSINA KUZUNGUMZIA SIRI YAKE YA MDA MREFU

Mkali wa Rnb August Alsina amejitokeza na kwa mara ya kwanza kuzungumzia Ishu ambayo amekuwa nayo kimya mda mrefu.
Kasema kuwa yeye ni mgonjwa na ugonjwa unao msumbua ni ugonjwa wa Ini ambao upo kwa familia yao na akuwa tayali kusema mda mrefu sababu ya kuogopa kuonewa Huruma.
hii hapa Post yake kupitia IG I've been living my life in so much dis-ease that I've literally created it within myself... God has invested something inside of me, But I am not afraid of this Agony because I know that God pulls us back to shoot us FORWARD. 🏹 & To my lovely and loyal fans.. Please take care of yourself and your bodies & your SOULS. A beautiful face will fade, a beautiful body will too fade, but a beautiful soul is that FOREVER. I have so much to share, until I do.. Please say a prayer 🙏🏾
Lakin kitu kizuri ni kutangaza Tour Yake inayo kuja inaitwa Dont Matter pamoja na ujio wa ngoma
yake mpya.
Tumuombe star huyu.

No comments

Powered by Blogger.