MDEE KUSOTA NDANI HADI JUMATATU WIKI IJAYO
Ambapo Mkuu wa Wilaya kwa mujibu wa sheria aliagiza Mbunge huyo ashikiliwe na ahojiwe kwa masaa 48 ya
liyotajwa kisheria na kumpa mamlaka Mkuu wa Wilaya kufanya hivyo.
Siku ambayo Mbunge huyo inabidi aachiwe na Jeshi la Polisi imeangukia kwenye sikukuu ya Saba Saba, jambo ambalo linapelekea Mbunge huyo kuendelea kusota rumande mpaka siku ya Jumatatu.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments