-->

Header Ads

UWOYA ALIZWA NA MTOTO WA KIUME


STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo MuviIrene Uwoya amesema amepungua takriban kilo tatu mwilini kutokana na kuugua kwa mtoto wake wa kipekee Krish, mpaka kusababishwa kufanyiwa upasuaji mdogo kitu ambacho kilikuwa kikimnyima raha.

AkizungumzaUwoya alisema mtoto wake alikuwa na tatizo kubwa ambalo hakupenda kuliweka wazi kwenye vyombo vya habari lakini anamshukuru Mungu kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kutibiwa.
“Jamani usisikie kuuguliwa na mtoto, nilikuwa nashindwa hata kula chakula ndiyo maana nimepungua,”alisema Uwoya.




JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.