-->

Header Ads

HUYU NDIYE MWANAMUZIKI ANAYEAPA KUMPA PENZI ZITO NA LA DHATI MREMBO "RAY C", LORD EYEZ KURITHIWA?

Mdau wa AKISI TV kuweka hisia wazi hasa kwa yule unayempenda ni jambo zuri na lenye kuondoa stress na kuusafisha moyo

Wasanii hasa wa Bongo fleva wameonekana kutangaza hisia  zao laivu kabisa akiwemo msanii Sterio ambaye aliwahi kuweka wazi jinsi gani anamzimikia mwanadada mwimbaji wa hip hop nchini Chemical.

Hali hii imeendelea ambapo msanii T- STYLE ameweka hisia zake wazii kwa mrembo na aliyewahi kuiteka bongo fleva aliyefahamika kwa majina mengi sana ikiwemo kiuno 'bila mfupa' kwa jina kamili Rehema Chalamila, Ray C.





JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.