NOW BOOT BY USING USB STORAGE
Kutokana na watu wengi kuendelea kutaabika kubadilisha operating system zao (windows) kwa kutumia flash, leo nimeona nirudie ili kila mtu ajue. Fuata hatua zifuatazo.
1.Nenda kwenye START BUTTON,
2.Nenda kwenye SEARCH alafu andika CMD.
3.Ikitokea hiyo cmd una bofya kitufe cha kulia kwenye kipanya chako, alafu utachagua OPEN AS ADMINISTRATOR. baada ya hapo fatisha screenshot hapo chini,

No comments