-->

Header Ads

WALIMU WAPEWA ONYO HILI ZANZIBAR , WAZIRI AWEKA MSIMAMO HUU...

Image result for WALIMUZanzibar. Wizara ya  Elimu na Mafunzo Zanzibar imesema haitomvulimia mwalimu hata mmoja atakayebainika kuwa ni chanzo cha ufaulu mbaya katika mitihani ya Taifa kwa wanafunzi wa shule za Zanzibar.




Kauli hiyo imetolewa leo na naibu waziri wa wizara hiyo, Mmanga Mjengo Mjawiri wakati akizungumza na walimu wa shule za Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa elimu Zanzibar.



Amesema  baadhi ya walimu wamekuwa ni chanzo kikuu cha wanafunzi kufanya vibaya katika mitihani yao, hali ambayo inaonekana kusababishwa kwa makusudi na baadhi ya walimu hao.




JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.