-->

Header Ads

VURUGU: MACHINGA WA KARIAKOO WALIVYOANDAMANA KUMPINGA RC MAKONDA LEO




Katazo la mkuu wa mkoa wa Dar kupiga marufuku CD za movie kutoka nje ya nchi ili kuinua sokolafilamu nchini limepingwa vikali na machinga wa Kariakoo wakidai kuwa biashara yao ya kuwaingizia kipato imeathiriwa na katazo hilo



JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.