-->

Header Ads

BREAKING: KITU HARMORAPA AMEMSHAURI RAIS MAGUFULI HIKI HAPA..



Harmorapa akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amemshauri Rais Magufuli kuboresha zaidi miundombinu.

“Rais Magufuli unajua yeye ndiye mwenye nchi sasa, hivyo mimi namuomba aboreshe zaidi suala la miundombinu natambua amefanya mambo mengi na makubwa kwenye sekta hiyo ila aboreshe zaidi, lakini pia namuomba Rais Magufuli aendelee kuwafinya wale wajanja wajanja kama ambavyo anafanya saizi na kingine atuangalie na sisi wasanii na kazi zetu” alisema Harmorapa

JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.